Kafulila: Polisi Tanzania kuanza kutumia mashine maalumu za ki-electronic kupima uzima wa magari nchi nzima bila kutumia pesa ya Serikali

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,231
1,404

Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo muhimu yafuatayo,

1. Polisi kwa mara ya kwanza Tanzania chini ya Serikali ya awamu ya sita ya Dkt Samia Suluhu Hassan watapata mwekezaji kwaajili ya kupatiwa mashine maalumu za kukagua na kuchunguza uzima na uimara wa magari yote nchini ki-electronic ili kupunguza ajali za mara kwa mara.

2. Mkurugenzi huyo amesema mradi huo wa UBia hautatumia pesa ya Serikali hata mia bali utatumia pesa za Mwekezaji ili Fedha za Serikali zilizotengwa kununua vifaa hivyo zitapelekwa katika maeneo mengine ya kimaendeleo.

3. Mkurugenzi huyu ameueleza Umma wa Watanzania kuwa, kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Suluhu Hassan PPP inaonesha matokeo katika kuisaidia Serikali katika kufikia malengo yake bila kuumiza Wananchi wa vipato vya chini.

4. Ifahamike kuwa, Mradi huu wa kununua mashine za ki-electronic kwaajili ya kupima Ubora na Uzima wa Magari yote utagharimu mabilioni ya Shilingi kama tungesema ni Serikali itoe pesa hizi basi ni wazi watu w

etu wangekamuliwa ili mashine hizi zinunuliwe kwani ni za muhimu hasa kwa wakati huu ambao Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi na watu wananunua magari Kila Leo.

5. Kwa lugha nyepesi kazi ya PPP ni kuipa nafuu Serikali katika kutekeleza miradi yake ya maendeleo kwa kutumia pesa kutoka nje ya Serikali kwaajili ya miradi ya Serikali na mwisho wa siku Wananchi wanapata huduma bora na zinazostahili.

# Kwa mambo haya hakika Mama Samia anatosha mpaka 2030.
 
View attachment 2983984
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya yafuatayo,

1. Polisi kwa mara ya kwanza Tanzania chini ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan watapata mwekezaji kwaajili ya kupatiwa vifaa vya kuchunguzia uzima na uimara wa magari yote nchini ki-electronic ili kupunguza ajali za mara kwa mara.

2. Mkurugenzi Kafulila amesema mradi huu hautatumia pesa ya Serikali hata mia bali utatumia pesa za Mwekezaji na Fedha za Serikali zilizotengwa kununua vifaa hivyo zitapelekwa katika maeneo mengine ya kimaendeleo.

3. Mkurugenzi huyu ameuelezea Umma wa Watanzania kuwa, kwamara ya kwanza chini ya Rais Samia Suluhu Hassan PPP inaonesha matokeo katika kuisaidia Serikali katika kufikia malengo yake bila kuumiza Wananchi wa vipato vya chini.

4. Mradi huu wa kununua vifaa hivyo vya kielectronic kwaajili ya kupima ubora na uzima wa Magari utagharimu mabilioni ya Shilingi kama tungesema ni Serikali itoe pesa hizi basi ni wazi watu wetu wangekamuliwa ili vifaa hizi vinunuliwe,

5. Kwa lugha nyepesi kazi ya PPP ni kuipa nafuu Serikali katika kutekeleza miradi yake ya maendeleo kwa kutumia pesa kutoka nje ya Serikali kwaajili ya miradi ya Serikali na mwisho wa siku Wananchi wanapata huduma zinazostahili.

#Hakika Mama Samia anatoaha mpaka 20230 kama mambo ndio haya.
Hiki kichwa kimekuwa miss used na CCM ila jamaa anaakili sana alipashwa kuwa Waziri kama akina TAX wakuteuliwa
 
Ila tuache Uchama Kafulila ni kijana anajua sana kujieleza Ila waha wanaongea jamani duuu
 
Hapana hapa hajaeleweka. Na amepotosha.
Kafulila anaposema kuwa serikali haitaingia gharama yoyote ya kununua hivyo vifaa vya kupima magari na kuendesha hilo zoezi la upimaji anamaanisha nini ikiwa serikali imeingia ubia na kampuni binafsi kununua hivyo vifaa na zoezi hilo litafanywa na jeshi la polisi?

Hiyo kampuni ya kutoa mabilioni ili kununua hivyo vifaa, inatoa wapi pesa na itafaidika nini katika huo ubia ikiwa itawekeza pesa zake hapo?

Jeshi la polisi linaendeshwa kwa pesa za serikali kufanya kazi yake (ikiwemo kulipa mishahara, posho na vitendea kazi) sasa unaposema serikali haitatumia pesa zake lakini hapo hapo italitumia jeshi la polisi, Kafulila anaelewa kweli anachokisema?
 
Kampuni yenyewe kwa kushirikiana na Polisi ndio wataviendesha na kukusanya Mapato ambayo kidogo yataenda Serikalini na kingi kitakwenda kwa mwekezaji nadhani ndio anamaanisha hivyo
 
muda sio mrefu mtaamzisha garage,Tanzania wanaamini ajali zana sababishwa na ubovu wa magari.

Katika ajali nyingi utasikia chanzo cha ajali ni mwendo kasi au uzembe wa dereva au miundo mbinu,Sijawahi sikia kuwa ni ubovu wa gari.
 
Unamaanisha magari yaendelee kukaguliwa kwa macho tu?
 
Back
Top Bottom