Pre GE2025 Rais Samia, Watanzania tunakupenda sana na tuna imani na wewe. 2025 lazima Ushinde kwa Kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChawaWaMama

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
1,765
3,277
GTs,

Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025.

Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa sababu nchi yetu haihitaji Rais mkali bali tunahitaji mifumo mathubuti ya kuwajibisha wanaoiba au hao mafisadi. Rais Samia kwenye hilo kaliweza ndiyo maana tunamhitaji Rais wa aina yake yaani ikiwezekana hata mpaka 2040 kabisa maana tunahitaji mifumo ifanye kazi na siyo kutegemea tu eti Rais awe mkali.

CCM Oyee, Rais Samia Oyee, Rais Samia mitano tena, Rais Samia 2025 Yess, kazi iendelee.
 
images (10).jpeg
 
Bosi alishasema hataki kusikia habari za chawa mbona mzito kuelewa,au nia yako ni kumkasirisha boss.
 
Akiweza kukabiliana na walafi wa mali za umma na kubana matumizi yasiyo ya lazima, bima ya afya kwa wote, kwasasa nampa 30%
 
Ukiwa na akili timamu na ukawa umejaaliwa hekima kdg tu huwezi kujiita chawa yaani (kitu cha hovyo na cha aibu)
Ungekaa kimya ungeficha ujinga wako!
Huyu ajuza kwa umri huu hana ndoa kazalishwa watoto na washikiji kibao, amekataa tamaa ya maisha kaona salama na tumaini pekee ni kujiita chawa, sahivi hana mvuto tena hawezi kutongozwa na mtu yoyote maana amekomaa kishenzi.
 
GTs,

Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025.

Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa sababu nchi yetu haihitaji Rais mkali bali tunahitaji mifumo mathubuti ya kuwajibisha wanaoiba au hao mafisadi. Rais Samia kwenye hilo kaliweza ndiyo maana tunamhitaji Rais wa aina yake yaani ikiwezekana hata mpaka 2040 kabisa maana tunahitaji mifumo ifanye kazi na siyo kutegemea tu eti Rais awe mkali.

CCM Oyee, Rais Samia Oyee, Rais Samia mitano tena, Rais Samia 2025 Yess, kazi iendelee.
Chawa hawezi kuwa na akili timamu
 
Ukipenzi huo unatokana na Nini? Kipi Cha maana ametufanyia nje ya Kodi zetu tunazokamuliwa

Tunataka katiba mpya sasa yeye anasema mpaka tuende shule kwanza
 
Back
Top Bottom