Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa...
8 Reactions
132 Replies
6K Views
1R =Reverse katika usalama wa wananchi TLS wametoa taarifa ya waliotekwa, zaidi ya asilimia 90 ya walioripotiwa kutekwa katika ripoti hiyo, wametekwa toka mwaka 2021 kipindi cha utawala wa awamu...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba. Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka...
0 Reactions
67 Replies
2K Views
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi...
17 Reactions
56 Replies
3K Views
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu. Kama tunaweza kukaa wiki...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo. Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi...
6 Reactions
5 Replies
568 Views
Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Whomever holds power from now (2024), on whatever landmass on Earth, with an organized government will make sure they hold onto it as long as it can or forever if the opportunity presents itself...
0 Reactions
5 Replies
505 Views
NAIBU WAZIRI KATIMBA AMTAKA DMO CHATO KUJITATHIMINI Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemtaka mganga mkuu na timu ya usimamizi wa shughuli za Afya wa Halmashauri(CHMT) ya...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba. Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha...
6 Reactions
6 Replies
835 Views
Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa wakati wa sasa kuleta mambo kama haya ni kutafuta matatizo tu, Hii ni kwa sababu sasa hivi hakuna anayewaogopa polisi, siku hizi polisi wanaheshimiwa tu kutokana na Majukumu yao, wala hakuna...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala... Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha...
9 Reactions
103 Replies
3K Views
Wanaposema Viongozi wote wamewaachia huku wengine wakiwa bado selo wanataka kumdanganya nani na kwa faida ya nani?
1 Reactions
8 Replies
792 Views
Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya nje - Zanzibar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
"Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano...
36 Reactions
80 Replies
8K Views
Wanajamvi, Moja kwa moja kwenye maudhui. Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Hatutaki lawama zozote kwamba hatukukuambia Mapema. Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Kiongozi wa Juu zaidi wa Kanda ya Nyasa anapeleka cheo chake kipya nyumbani kwao Mbeya Mjini, kutakuwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA...
6 Reactions
9 Replies
551 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…