Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,466
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Tanzania , Profesa Kabudi , anapaswa kukamatwa na kuhojiwa kwa kudanganya Umma na Kusababisha Taharuki , huyu anaweza kuropoka mengi machafu waliyokuwa wanafanya kwa kushirikiana na Mwendazake na wengine .
Huku akijua kwamba anayoyaongea ni Uongo , bado akaamua kuleta Matumaini Hewa kwa wananchi ambao waliamini KILA RAIA ZIKIWEMO HATA MIMBA ZA WAKATI KWAMBA WATAPATA NOAH MOJA MOJA kutokana na kauli ya serikali kuhusu mapato yatakayotokana na Mauzo ya Haki ya Makinikia yaliyokamatwa Bandarini .
Tundu Lissu alipojitokeza hadharani kupinga uongo ule wa kishamba walimuita majina yote mabaya na kwamba si Mzalendo , leo kiko wapi ?
Wako raia ambao leo wamepata matatizo ya akili kutokana na kupoteza matumaini ya Kupata Noah hizo , Leo Kabudi yuleyule anatoka hadharani kirahisi tu kwamba alidanganya ! Tunamfanyaje huyu jamaa Aisee ?