Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi.
Watu wa maana ni wengi lakini kuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu...
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya...
Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.
Kwa muda mrefu...
Kwa muhitasari:
Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana"
Tundu...
Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe...
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe...
Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024.
Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa...
Unadhani kwa mazingira bora na tulivu haya ya uhuru, haki na usawa wa kidemokrasia yaliyopo sasa hivi Tanzania, ni chama kipi miongoni mwa vyama vya siasa zaidi ya 20, vyenye usajili wa kudumu na...
Heshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama...
Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu cha kuji husisha nacho Sana
Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa...
Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za...
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa
Pia soma...
Kama unabisha shauri Yako.
Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂
Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema yeye hatagombea Uenyekiti wa Chadema Taifa bali atatetea nafasi yake ya makamu mwenyekiti aliyohudumu kwa muhula mmoja tu kuanzia 2019...
Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito...
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN!
April 8, 2024
Arusha
⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali imeweka mipango na mikakati ya kuhakikisha watoto wanapata malezi bora...