Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
21 Reactions
222 Replies
13K Views
Jirani zetu wa Kenya kisiasa wako mbali sana Wakati Kibongo bongo Shujaa Magufuli alimbania Kamilius Membe kwenda kugombea Uongozi wa Jumuiya ya Madola huku wakiwa Chama kimoja hapo Kenya Ruto...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga...
1 Reactions
3 Replies
341 Views
Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto...
56 Reactions
253 Replies
9K Views
Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Ibe4QGL-jQc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo mengine ni Siasa za kishamba sana Kuisemasema Chadema kila dakika ni kuwafanyia Promo ya bure nyie CHAWA muelewe hilo Inakera sana 🐼
9 Reactions
15 Replies
773 Views
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya...
16 Reactions
64 Replies
4K Views
Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya...
37 Reactions
136 Replies
7K Views
Fuatilia tu tangu enzi za akina Mwangosi, Mo Dewji, Roma Mkatoliki, Ben nk utagundua Watu wanaopotea huwaga ni wale Akili kubwa, Wenye Maarifa na Ujasiri Kwanini mbumbumbu na CHAWA hawapoteagi...
4 Reactions
13 Replies
522 Views
Litakuwa jambo la mbolea mkifanya hivyo na you will win credt for that!
0 Reactions
1 Replies
185 Views
ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na...
1 Reactions
1 Replies
451 Views
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Maboghini Moshi vijijini kwa tiketi ya chadema ambaye pia ni mwanasheria wa kujitegemea mjini Arusha ndugu Albert Msando, ametangaza kupambana na watu wote wanaomsema vibaya...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Binafsi kwa ufupi sana naweza kusema kama ifuatavyo: Strength: Tundu Lisu ni Kiongozi anayejiamini, Jasiri, Mwanasheria nguli na wakati wote hupendelea kutetea Wanyonge hivyo ni Mtu...
9 Reactions
59 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…