Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters...
22 Reactions
327 Replies
23K Views
Katika Dunia ambapo ushirikiano wa kimataifa unazidi kuongozwa na maslahi ya kijiografia na kiuchumi, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amejitokeza kama mwangaza wa Uzalendo wa Afrika. Akiwa...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha hukoo "CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani...
2 Reactions
3 Replies
490 Views
Waziri wa maliasili ,kagera zinakotoka senene nyingi Je Senene hutokea wapi ,makazi yao na mazalio yako wapi ?
0 Reactions
10 Replies
590 Views
Kutokana na sintofahamu kwenye chama Cha CHADEMA inayoendelea sasa hivi ndani ya chama hasa Viongozi kuhongwa na suala la akina Halima Mdee kurudishwa kwenye chama huko mbeleni, nina ushauri...
10 Reactions
86 Replies
2K Views
Wakuu, hivi hii ziara ina manufaa gani kwetu kama nchi? Rais kabisa unakwenda kwenye ufunguzi wa kampeni? Tunajua uchaguzi wetu Mkuu ni mwakani tu hapo, ndio naye anatafuta uungwaji mkono kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yako mambo ya kitaifa yaliyokaa kisiasa sana na yako yanayokwenda ndani zaidi kuishikilia kamba nyembamba iliyo roho ya dola letu tukufu Tanzania. Ninamshangaa mwanasheria mtunduizi Tundu Lissu...
2 Reactions
10 Replies
657 Views
Eliezer Mbuki Feleshi ni jina ambalo halitajwi kwenye Kada ya sheria hapa Tanzania saana isipokuwa wakati ule was DP World. Lakini huyu ni mtu ambaye hadi sasa amebakiza cheo kimoja kizito tu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi. Sio mbaya lakini! hebu tumwone Hamza...
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali...
27 Reactions
86 Replies
6K Views
Hadi sasa kumbukumbu zinaonesha ni Mchungaji Mtikila peke yake ndio aliipigania Tanganyika kutoka moyoni Natamani sana Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud angekuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa...
20 Reactions
47 Replies
2K Views
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi...
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana. Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema. Lissu ni...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Naona wandugu hapa kwetu bongo siasa zinaelekea kuwashinda watatwala wetu kwani sasa hawajibu hoja badala yake wanajibu vioja. Pili nimeshangazwa na CCM kujibu tamko lililoelekezwa kwa rais na...
1 Reactions
206 Replies
22K Views
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja...
34 Reactions
84 Replies
6K Views
Polisi Iringa imezuia mkutano wa mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa uliokuwa ufanyike leo mkoani humo- Katibu Chadema Iringa, Jackson Mnyawami amethibitisha Polisi wamesema wamepata...
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Ndugu waandishi wa Habari, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kufika mahali hapa baada ya kupewa taarifa ya uwepo wa mkutano huu, tumewaiteni hapa ili tuweze kuuambia umma juu ya mambo...
30 Reactions
85 Replies
13K Views
Je, Ni kosa kuwa mfuasi wa Chadema na au kuwa upinzani? Ni dhambi kutoka chama kimoja na kwenda kuwa mfuasi wa Chadema na vyama vingine? Ni kweli kabisa wanaohusika mara nyingi kuwatesa na saa...
5 Reactions
10 Replies
516 Views
wakuu wasalaam Mh, Peter Msigwa (Mbunge wa Iringa Mjini) asherekea Pasaka Mkoani Njombe kwa kupeleka Ujumbe wa CCM ni HATARI kwa Usalama wa Taifa sasa hivi hapa njombe kumewaka moto...
0 Reactions
48 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…