Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nafuatilia sana mataifa mbali mbali ya afrika na dunia kwa ujumla, Kwanza naanza kwa ku declare interest kwamba mimi ni mwana CCM, ambaye nimeitumikia CCM katika nyadhifa mbali...
24 Reactions
75 Replies
8K Views
Tunaanza Mwizi wa madini ya Tanzania ni nani na huputia wapi? Mwizi wa madini ya Tanzania ni yule ambaye anasaini mikataba ofisini kinyume na maadili na taratibu zilizowekwa juu ya uchimbaji na...
31 Reactions
103 Replies
9K Views
Rais amesema mipango ya kujenga uwanja wa Omukajunguti ulikuwa wa kisiasa zaidi, Ameyasema hayo katik ziara yake mkoani kagera mjini Kyaka ambapo ni kama wachache tu kwenda Omukajunguti ambalo ni...
8 Reactions
117 Replies
15K Views
Kusema kweli naanza kuwa na was was na kama kweli mahakama ya mafisadi IPO au tulidanganywa? Kuna nia kweli au ni siasa? Kesi zipo hapa hebu anza na hizi, 1.Richmond hasara ya 350 billions...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo Sehem...
18 Reactions
113 Replies
13K Views
Nimezijua sana siasa za Tanzania, nimejua mbinu tunazotumia kuudanganya Umma, Mbinu pekee ni kuwaaminisha wananchi kwenye makaratasi na majukwaa kwamba uchumi umekua kumbe siyo, Kiashiria...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Tanzania tumejiwekea deadline kwamba Mwaka 2025 tunatakiwa kuwa tumefika uchumi wa kati, na Mpango mkakati ulikuwa ni kumleta kiongozi ambaye ataweza kuyasimamia hayo Tuwe na viwanda vya kutosha...
8 Reactions
116 Replies
9K Views
My Take Hili linahitaji Uchunguzi,mamlaka zitume makachero huko wakabaini ukweli wake. Hii imekaaje kwamba tunakuwa branded Kwa matukio mabaya mabaya tuu? Je Nchi yetu imekuwa kichochoro rahisi...
1 Reactions
22 Replies
202 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje...
3 Reactions
26 Replies
409 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Zanzibar, Khadija Nassoro Abdi, amewataka vijana na wananchi kwa ujumla kuwa makini na kile alichodai kuwa ni jitihada...
0 Reactions
7 Replies
185 Views
John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman...
4 Reactions
144 Replies
1K Views
CCM mnahubiri juu ya reconcilliation. Kwa kizungu ni maridhiano. Maridhiano hufanyika baadsa ya pande mmoja kudhulumu pande nyingine. Hass kwa kufanya mauaji na utekaji kama kule Afrika ya...
4 Reactions
5 Replies
134 Views
Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
8 Reactions
31 Replies
656 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Julai 30, 2026, amekutana na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
3 Reactions
117 Replies
4K Views
Anajisahau mno mahakamani na kudhani kwamba anajieleza mbele ya wale wasio jua sheria aliozoea kuwabeba ufala kifikra, kwamba eti anajua shreia bara-bara, kumbea hana lolote. Ndio maana, badala ya...
0 Reactions
83 Replies
3K Views
Iko siku nchi hii itakuwa na Bara bara, madaraja, majengo na taasisi zitakuwa kuwa na majina ya hawa mashujaa wawili. Haya hatutaweza kuyasema mchana wala hatutaweza kusema mbele ya Camera. Nina...
6 Reactions
6 Replies
130 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amezitaka halmashauri zote mkoani humo kufunga mizani kwenye mageti ya ushuru ili kuondoa faini zisizo halali kwa wasafirishaji wa mizigo na kupunguza...
4 Reactions
9 Replies
373 Views
Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI. Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na...
4 Reactions
1K Replies
172K Views
Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
0 Reactions
14 Replies
109 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…