Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anonymity siyo warrant ya kuvunja sheria/kutukana, kuzusha habari za uongo and the like! Anonymity ni fursa ya kutoa mawazo yako ya haki na kweli ambayo madikiteita hawataki kuyasikia ili...
8 Reactions
35 Replies
617 Views
Yapo Makanisa mengi na Misikiti mingi lakini kimbilio limekuwa Kanisa Moja Takatifu La Mitume yaani Katoliki Ni kwanini hasa? Tumeshuhudia Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika akiomba Hifadhi...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Naona leo umejitutumua mama yangu! Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli. Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara...
91 Reactions
299 Replies
14K Views
Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Salamu kwenu wanaCHADEMA Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie...
2 Reactions
17 Replies
867 Views
Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Juzi akiwa katika jukwaa la mjasiliamali na mfanyabiasha wa neno la Mungu Mwamposa huko Arusha Bashite alisikika akiwakemea viongozi wa dini wanaotoa matamko ya kupinga utekaji na mauaji katika...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Dr.Lilian Mtei (mke wa Freeman Mbowe) ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji katika hospitali ya taifa Muhimbili, amekamatwa akielekea kazini asubuhi ya leo. Dr.Lilian ambaye pia ni...
32 Reactions
114 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Usinichoke na ukinichoka nipotezee Je wajua watanzania wakiwa kwenye vyombo vya usafiri UPOTEZA ufahamu wote na ndio maana ikitokea ajari WANAKUFA WENGI? Ushahidi ni huu hapa Alivyotekwa Mzee...
3 Reactions
17 Replies
842 Views
Friday, September 20, 2024  In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale...
2 Reactions
8 Replies
604 Views
Unapozungumzia Wizara ya Afya unakuwa umegusa moja kwa moja Afya za watanzania hivyo unahitaji mtu makini . Katika hii wizara tunategemea kutakuwa taaluma zaidi kuliko maigizo na siasa . Ummy...
2 Reactions
8 Replies
741 Views
Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Ndugu zangu Watanzania, Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana...
10 Reactions
148 Replies
4K Views
Kamanda Muliro amesema Wananchi wamefurahia kuimarishwa kwa Ulinzi na wamekuwa wakipiga simu za pongezi Muliro amesema Ulinzi huu hautokani na Chadema Kutangaza Maandamano bali ni katika...
13 Reactions
159 Replies
6K Views
Ndugu Magufuli kama kweli anataka nchi iendelee na iwe ya viwanda na lazima tuwe tunazalisha kwa mwaka minimum megawatt 5,000 kama kweli tuko serious na sio hizi ngonjera za uchumi wa viwanda na...
14 Reactions
88 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…