Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu. Amesema Raisi Samia haitaji...
16 Reactions
123 Replies
4K Views
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana. Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana. Hapa JF ni "Home...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Watanzania wengi walioajiriwa hutazama zaidi ukubwa wa viwango vya mishahara lakini sidhani kama huwa wanahoji ndani ya viwango hivyo vya mishahara kunawekwa nini !!?? Kwa mfano labda kiwango cha...
12 Reactions
34 Replies
4K Views
Katambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania "Tutampa Rais Samia...
11 Reactions
232 Replies
15K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni wakati ambao kuna mambo makubwa yanatokea. Sijui kwa nini viongozi wa Dunia wakaamua kuwaweka Watanzania in the centre of this. Mkutano ujao utafanyika Uzbekistan. Maybe it is the only place...
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Hizi sifa anazopewa Rais wa Tanzania zinamsataili? Kila uchwao tunasikia Rais ametoa pesa za mradi fulani, mara Mradi fulani nauliza Rais wetu hizo pesa anazitoa wapi zaidi ya kodi zetu? Kama ni...
0 Reactions
7 Replies
610 Views
Tanzania ni lazima tusome nyakati. Ruhswa inaelekea imeshindikana kama tutasubiri serikali itatue hili tatizo. Lakini ni lazima mkakati uwekwe kitaifa bila hivyo tutakuwa tuna bebe maji na gunia...
4 Reactions
15 Replies
689 Views
Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika November 27, 2024 Nchi kote. Sasa kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na umejiandikisha ili kupiga kura mwaka huu je...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita Pia soma: LGE2024...
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Sina chuki wala husuda yeyote ila Dodoma kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ni hasara kiuchumi Mkoa hauna mchango mkubwa kiuchumi kwa nchi yetu japo unapigiwa debe...
2 Reactions
3 Replies
549 Views
Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
MWENYEKITI Mwenza wa wabunge wanaounda Umoja wa Katiba (UKAWA), James Mbatia amesema wanaendelea kukusanya ushahidi vitendo vya ubakaji demokrasia na haki za binadamu kumfikisha Rais Dk. John...
7 Reactions
120 Replies
12K Views
Maharage, Nape na Makamba walikua na jeuri na viburi kupindukia wako wapi hii leo? Kuna watu walikua na viburi,jeuri,fedheha,jeuri na dharau kama watu watatu? Walijiona kama Miungu watu...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
To be seen by all Cabinet Members As Tanzania stands on the threshold of potential greatness, we face a dire, persistent obstacle: the misdirected energies of our leaders. Busy with needless...
1 Reactions
1 Replies
663 Views
CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Nimeona Sasa hata CHADEMA wale Wabunge wao wa viti Maalum akina COVID-19 Halima Mdee wanagawa Pikipiki nyakati hizi za uchaguzi Japo Mzee Lowassa na Makamba jr waligawa Pikipiki enzi zao lakini...
3 Reactions
14 Replies
608 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…