Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama
Ado amesema...
Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa...
Wanaotumia msemo huu muwe tayari kukubali kuambiwa hata majanga wakati mwingine yamesababishwa na serikali.
Maghorofa 505 yalifanyiwa tathmini 147 yalibainika kujengwa bila kufuata taratibu (...
Salaam
Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo...
"Mchongo".
Rushwa/Takwima/Chai/Zawadi/Asante.
Ukifika Swekeni unaambiwa kuna MCHONGO,tafuta wanaoeleweka,leta majina yao wapate mchongo.
Wanaoeleweka ni wale wanaotoa chochote kitu kwa mwenye...
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo...
Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku.
Mengi sana, makubwa kwa...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha...
Wakuu,
Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo!
=====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU
📍20 Novemba, 2024
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha...
Wanabodi,
Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu ataongoza Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Bunda Mjini.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kila mahali hii hapa...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.
Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi...
Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi...
Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika...
Wakuu sio kwa ubaya najiuliza huwa nakosa jibu kwanini kila janga likitokea waziri mkuu hutafuta mahali pa kuangushia jumba bovu au ili yeye asiguswe na lawama?.
Majanga yanayotokea na uzembe...
Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili
Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa...