Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana, kuzingatia misingi ya haki, wajibu na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Amesema hayo Januari 27, 2026 katika...
0 Reactions
5 Replies
208 Views
Vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 zimeacha alama nzito ikiwa pamoja na kuchafua diplomasia na uhusiano wa kimataifa. Vurugu hizo zilizotokana na...
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Mwaka 1992, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika hatamu za uongozi wa Dola ya Tanzania. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, chama hicho kimeendelea...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Uchaguzi wa Oktoba 2025 umechangia kuibua mgawanyiko mkubwa kati ya viongozi na wananchi, ukuta wa hofu, na kutokuaminiana. Hiyo ni kutokana na maandamano ya baadhi ya wananchi walioupinga...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe, Beatrece Malekela, Januari 24, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Wilaya, amesema; "Wako wapendwa wetu wengi walipoteza Maisha kwenye vurugu zile...
3 Reactions
17 Replies
381 Views
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde. Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania uliingia kwenye vitabu vya historia si kwa wingi wa Wapiga Kura bali kwa mazingira magumu yaliyozunguka uhuru habari na uhuru wa maoni. Ibara za 18 na...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula...
14 Reactions
94 Replies
2K Views
Wakuu, CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣 Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27. Sasa imebaki kuangalia raia...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
  • Featured
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa ikiwemo kuanzisha Wizara ya Vijana iliyopo chini ya Ofisi ya Rais, kuwaachia...
9 Reactions
85 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano viendelee...
1 Reactions
20 Replies
669 Views
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai...
12 Reactions
121 Replies
4K Views
D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu. Nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja...
6 Reactions
25 Replies
709 Views
Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
17 Reactions
22 Replies
1K Views
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi...
1 Reactions
18 Replies
657 Views
Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
2 Reactions
7 Replies
316 Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
2 Reactions
14 Replies
674 Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la...
1 Reactions
5 Replies
432 Views
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa...
1 Reactions
16 Replies
624 Views
Back
Top Bottom