Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati ambapo rais amemteua Dr. Asha Rose Migiro kuwa mbunge na hatimaye pengine akateuliwa kuwa waziri, kuna fununu kuwa huenda anaandaliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015. UVCCM...
2 Reactions
214 Replies
28K Views
Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu...
1 Reactions
4 Replies
409 Views
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote. Sio ndani ya vyombo vya usalama, Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote...
92 Reactions
263 Replies
26K Views
Huo ndio Ukweli' Ndio sababu Mh Tundu Lisu ametuomba sisi Wakongwe tunaopenda Mageuzi tutoe darasa kwa Wote wasioelewa maana halisi ya Demokrasia Vijana wa Mbowe aliowachukua Chuo kikuu pale...
3 Reactions
13 Replies
574 Views
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa...
33 Reactions
174 Replies
15K Views
Wasalaam, Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM. Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
4 Reactions
74 Replies
4K Views
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Salamu wakuu. Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu. Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too...
30 Reactions
168 Replies
6K Views
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu. Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla. CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano...
6 Reactions
10 Replies
922 Views
Kumeanza kuchanganka Boniface Jacob mjumbe wa kamati na mwenyekiti wa pwani Chadema lakini pia ni kijana mtiifu wa Freeman Mbowe ametoa onyo. Je unahisi ili onyo limepelekwa kwa nani?
17 Reactions
96 Replies
5K Views
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili. Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili: ================== UPDATES: MATOKEO YAANZA KUTANGAZWA KAMA IFUATAVYO: WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303 Waliopiga...
0 Reactions
252 Replies
31K Views
Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine. Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi...
-2 Reactions
32 Replies
2K Views
Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Ni maoni yangu lakini simjui hanijui na hatujuani ila angefaa zaidi ya Prof.Janabi πŸ‘‡πŸ‘‡ I had the honor of officiating the first-ever training on Biosafety Cabinet Certification at the Eastern...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa...
1 Reactions
18 Replies
947 Views
"Bila CCM imara nchi itayumba", Mwl Julius Nyerere. Hakika baba wa taifa aliona mbali. Ninakishauri chama pendwa CCM kama baba wa demokrasia nchini kukisaidia chama rafiki CHADEMA chini ya...
2 Reactions
11 Replies
532 Views
Wakuu mjumbe hauwawi,Msigwa anasema safari hii Mwamba kapatikana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡ Mwamba wa ACT Wazalendo anawa zoom tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ https://x.com/zittokabwe/status/1867117457988636793?t=u2ZhhSonhiMhl-S92nDa8A&s=19
1 Reactions
12 Replies
689 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…