chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 13,627
- 23,596
Nilitarajia Chuo Kikuu cha SAUT ambacho kimetajwa sana katika mitandao kuhusu tukio la mmoja wa wanachuo, walau kiseme kaneno kamoja kuhusu jamii inayoishi hapo na maadili.
Labda pengine kitendo kilichofanywa ni cha kawaida kwa wanafunzi wao. Wazazi wenye watoto hapo SAUT roho ziko juu juu.
N.B: hicho ni chuo cha Mtakatifu Augustine, mali ya Kanisa Katoliki,hii ni kwa ambao hawajaelewa