Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
13 Reactions
83 Replies
4K Views
Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Nilikuwa naitzama hii story sasa hivi kwamba mwaka 1969 fighter jet ya North Korea ilifanya shambulizi na kuleta madhara kidogo kwa jeshi la Marekani, Pacific Fleet. Halafu rais wa Marekani...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Baada ya tetesi na maneno ya muda mrefu kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini au ni chama cha wachaga Ni muda sasa CHADEMA kutoka nje ya mikono na uangalizi wa wachaga, baada ya Edwin Mtei kuongoza...
2 Reactions
10 Replies
670 Views
Jinsi Kampuni ya Pan Africa Power Ltd (PAP) ilivyoichukua Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) bure na kujichotea Dola za Marekani 128 milioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Muhtasari...
16 Reactions
181 Replies
30K Views
Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press...
10 Reactions
87 Replies
5K Views
MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM...
6 Reactions
19 Replies
909 Views
Hii ni polite exit strategy ya kuondoka chadema. kubaki kwake chadema ni lazima ashinde uenyekiti taifa. kinyume na hivyo atachukua mkondo mwingine kisiasa. Ni kwanini atangaze kugombea umakamu...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hapo bwana Lisu alikuwa anajikosha na kujihami dhidi ya Yale ambayo yatajiri kunako kwenye Uchaguzi,defensive mechanism ya Wanachadema wasimuone kuwa Msaliti pia maana. Ukimsikiliza ameongea...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za uhakika zinadokeza kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi hii kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo na hadi hivi sasa haijajulikana kama...
25 Reactions
151 Replies
18K Views
Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake. Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua. Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati...
11 Reactions
235 Replies
16K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza? Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba...
1 Reactions
3 Replies
444 Views
Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata. Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi...
2 Reactions
4 Replies
598 Views
Tuko Hapa Kiutumishi kukemea roho za mapepo wachafu wanaosababisha ajali zenye Utata Tutafanya maombi na kausambaratisha vilinge vyote vya Walozi Kisha tunaelekea Dodoma kwenye Mkutano wa...
1 Reactions
5 Replies
501 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…