Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali. Inafikirisha sana...
2 Reactions
7 Replies
519 Views
Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa...
0 Reactions
2 Replies
291 Views
KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima...
1 Reactions
7 Replies
901 Views
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika...
57 Reactions
239 Replies
20K Views
Makamu Mwenyekiti wa chadema Tundu Lisu amesema tofauti na CCM wao hutoa Fomu nyingi Ili Wagombea wajitokeze wengi Kuhusiana na Mbowe Kugombea tena Lisu amesema wanaoongea ni Wapambe tu lakini...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu. Sasa naona Tundu Lissu ndiye...
17 Reactions
38 Replies
2K Views
Unajua dhana ya Uchawa imejikita kwenye Ulimwengu wa roho ndio sababu utakuta kapuku mmoja wahed kabisa anamuendesha na kumpangia mambo ya kufanya kiongozi mkubwa Uchawa umejikita kwenye nguvu za...
2 Reactions
6 Replies
669 Views
CCM ni tofauti sana na nyama vingine vya siasa nchini ambavyo vina usajili kamili na wa kudumu chini ya sheria ya vyama. Sifa pekee za CCM zinjidhihirisha wazi wazi katika masuala mazito ya...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Mara baada ya kumaliza kusikiliza mazungumzo uliyofanya na baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania 07/06/2019 na kuona malalamiko mengi ya serikali kwa wafanyabiashara, na ya wafanyabishara kwa...
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Leo, Baraza la Jumuiya ya Wazazi la Wilaya ya Musoma Vijijini limemtunuku Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, TUZO ya PONGEZI kwa kutambua ushiriki wake na mchango wake...
0 Reactions
9 Replies
593 Views
Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
4 Reactions
11 Replies
931 Views
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza...
2 Reactions
6 Replies
627 Views
Wakuu, Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio...
2 Reactions
3 Replies
676 Views
Polisi wa Tanzania wamerejesha gari la Alphonce Lusako, lililoporwa siku alipoteleza na kunusurika kutekwa. Baada ya kumkosa Watekaji hao waliojiita Polisi waliamua kuondoka na gari lake...
6 Reactions
13 Replies
810 Views
definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…