Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa...
Siyo kwamba Chadema tu ndio Kuna mgogoro la hasha ila vyama vingine havina Wahuni Wahuni kama akina Ntobi na Boni Yai
CCM ndio Kuna mgogoro mkubwa sana kwa sababu Wabunge wao ni wa Viwango vya...
Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.
Wenzako...
Heri ya Christmas Wanajamvi.
Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa.
Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika...
Pokeeni Salam za Christmas kutoka Kwa Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi Kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi Yetu hii nzuri sana
Salaam Maalum Ukurasani X
Ahsanteni Sana
Merry Christmas 🌹😃🐼🔥
kwa jicho la mbali naweza sema Lissu alipanga haya yanayotokea siku nyingi, pengine hata zaidi ya miezi 12 nyuma, na aliamua wapumbaza team Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa Team Mbowe wanacheza game...
Siku moja tu baada ya Lissu kutumia masaa 4 akiwahutubia Watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu...
Amani wadau.
Wengi wanahoji kwa nini serikali ya Tanzania haijafanya lockdown kama zilivyofanya nchi za Kenya, Rwanda ,Uganda ,USA etc.pia wadadisi wanajaribu kulezea madhara ya kutokufanya...
XxxxxX
Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa...
Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea...
Nimekuwa nikishauri sana CHADEMA wazuie makada na viongozi wao kuropoka hovyo na badala yake awepo msemaji kama ilivyo kwa CCM wakawa hawanielewi. Leo hii chawa wa Mbowe ndugu Yericko Nyerere...
Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka...
Wanabodi,
Kwanza kabisa, tukubaliane kwamba CHADEMA ya sasa hivi imepoteza kwa kiasi kikubwa Imani kutoka kwa wananchi na ushawishi wa chama hiki kwenye masuala mbalimbali nchini ni mdogo sana...
Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog
Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu...
Huyu jamaa anajiita Mdude .
Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa.
Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za...
Yericko Nyerere
Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli.
Kisha soma na hii hapa
Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
Nawaza tu kama raia wa kawaida na mawazo haya nimeyapata baada ya kununua dollar Moja kwa tshs 2800
Ni declare interest kwamba kwenye mambo ya uchumi mimi ni maamuma, ila wazo linajia kwamba...
Hili ndio Swali gumu kabisa la mwaka 2024
Pokeeni Salam za kheri ya Christmas kutoka kwangu Johnthebaptist na rafiki Zangu Mzee Mgaya, Ras Mtimanyongo, Mchungaji Erasto na Dr Akandunduma
Merry...