Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwautubia Watanzania kwa Salamu za Mwaka Mpya Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 31, Disemba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo saa sita mchana, wananchi wa kijijina kata ya mtimbwilimbwi, tarafa ya nnyamba, mtwara vijijini, walifunga barabara kutoka mtwara kwenda tandahimba na newala, wakiwa wanaishinikiza serikali...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Mama Mzazi wa Mtoto Theresia John (18), Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela Mkoani Geita ambaye ni kati ya Watu wawili waliofariki kwenye vurugu za jana Kijijini hapo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali...
3 Reactions
11 Replies
629 Views
https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikiliza,wanajitambulisha wenyewe kwa majina! Maswali hakuna, Happy New year 2025!
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye Kitaaluma ni Mwanasheria anesema Katiba ya CHADEMA inakataza Kabisa Wagombea kutoa fedha wakati wa uchaguzi Kwa sababu yoyote ile Aidha Katiba imekataza kutoa...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu. Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo...
2 Reactions
9 Replies
528 Views
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia. Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu...
5 Reactions
79 Replies
4K Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Hii ndio Taarifa yangu ya leo ninayoileta hapa JF, Naomba tuvumiliane, Hii ni kwa sababu kuwatakia heri Wanachadema peke yao haijawahi kuwa kosa kisheria. Haitawezekana Mimi nikiwa na akili...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mh Tundu Lisu amesema ashukuriwe hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kuweka Msingi wa kubadilishana madaraka kwa hiyari Bila kusubiri kufukuzwa Source Jambo TV Happy New Year 😄
0 Reactions
3 Replies
364 Views
Kwa haya yanayoendelea Chadema nimekumbuka Kauli ya hayati Mrema kwamba Watanzania wanaoamini Vyama vya upinzani Akili zao Hazina Akili Nazidi kuitafakari Kauli ya hayati Mrema kwa kuwaangalia...
1 Reactions
2 Replies
268 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…