Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali...
23 Reactions
113 Replies
11K Views
Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Tuna raslimali nyingi sana kama madini lakini vinatufaidisha kwa kiwango cha chini sana.Hatuna mitambo ya kuchimba madini hayo,hatuna vifaa vya kisasa kwa ajili ya kilimo,vyote tunaagiza nje,ila...
2 Reactions
7 Replies
563 Views
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam. Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni: Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja...
12 Reactions
148 Replies
5K Views
Jamani mimi nasema wale tunamsema vibaya Mh Rais nakumbeza mnaleta laana kwa wale tunao ona haya mambo mazito anayatenda. Kwa hakia siwezi kuweka adharani ila Mh Rais Magufuli ni zawadi ya Mungu...
2 Reactions
6 Replies
864 Views
Kumekuwa na hali mbaya sana ktk taifa jambo ambalo kwa wenye busara zetu nilazima tuseme. Kwanza niseme rais hajakataa kukosolewa ila aina ya vile watu sasa wanamkosoa rais haijawahi tokea popote...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo. ===== UPDATES...
43 Reactions
1K Replies
221K Views
Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi. Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake...
15 Reactions
68 Replies
3K Views
DEMOKRASIA NA NCHI MASIKINI Leo nakuja tena na hii mada. Kwanza ijulikane kuwa hakuna nchi masikini imewahi endelea ikIwa chini ya demokrasia. Ukifutilia historia utaona kuwa hakuna nchi imewahi...
29 Reactions
292 Replies
7K Views
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe! Ni imani yangu kuwa barua...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hana uchungu na chadema, na huenda hata kadi yake ya uanachama hajailipia kwa kipindi kirefu sana. Infact, Kibaraka ni mchoyo na mbinafsi asiependa kutoa bali kupokea tu, tena kwa kuombaomba...
1 Reactions
60 Replies
2K Views
MUACHENI NTOBI AWE NTOBI! 🤣 https://x.com/Ntobi_/status/1874401704751296703 Sisi wasukuma, hasahasa wale wanaotoka viunga vya himaya ya Mkuu Ntobi, ni watu tunaopendelea sana utani na ukituvagaa...
1 Reactions
12 Replies
729 Views
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake. Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika"...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa...
9 Reactions
19 Replies
895 Views
Back
Top Bottom