Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikia mgombea wa CCM akitoa ahadi ya kuwawezesha vijana hasa wanaomaliza vyuo vikuu kupitia mikopo au ruzuku ili waweze kujiajiri. Hii ni sera ya muhimu sana katika kutatua tatizo la...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge. Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote. Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote...
3 Reactions
3 Replies
445 Views
Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale Soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa...
3 Reactions
167 Replies
17K Views
Nyani haoni.. . Na wewe inatosha toka waingie wengine. Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha. Na wewe toka
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo. Husika na mada tajwa hapo juu. Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea ===================== Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na...
3 Reactions
12 Replies
622 Views
Tunaweza kusema Pasi Na Shaka yoyote kwamba Kwa Sasa Huu unaweza kuwa ni wimbo ambao unaimbwa Sana Na wale tunaoikumbuka Kazi ya Shujaa huyu wa Afrika. Na hili halijifichi Hasa unapowazungumzia...
20 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam. Niitaje: -Airport -KAMATA/Aggrey st. -Bibi Titi Rd -Ali Hassan Mwinyi rd -Morrocco-Mwenge rd...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo...
3 Reactions
14 Replies
925 Views
Wakuu, Hadi nimecheka :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: oyaa napita hapo dk 0 kwenye gari aina fulani, fanya kunipiga mkono:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:. ===== Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli. Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya...
3 Reactions
6 Replies
728 Views
Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Kumbe wakili Jebra ni Act wazalendo dam dam? Kwanini anaingilia Chadema?
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence...
18 Reactions
40 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka. Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004...
2 Reactions
11 Replies
650 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema Katika nafasi zote za uongozi pale Chadema hakunaga Ukomo wa Uongozi Lakini mimi nafahamu Bavicha Wana Ukomo Kwa kigezo Cha umri na hii siyo Sawa Umri wa...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Posted on January 1, 1990 by editor Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna interview Lissu aliifanya kama si Clouds Tv basi ni Global Tv kwenye hiki kipindi cha kugombea uenyekiti wa chadema Global Tv, alisema kuna kiongozi mmoja wa Dini alimpigia Simu Kumuomba...
4 Reactions
13 Replies
955 Views
Back
Top Bottom