Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo...
62 Reactions
212 Replies
9K Views
Kwenye uzi huu Uchaguzi 2020 - RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali" jana nilikuwa...
29 Reactions
30 Replies
7K Views
Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya. Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
kwa dalili hizi, ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025.. kwa mfano, kwa sapoti kubwa...
3 Reactions
133 Replies
4K Views
Wanabodi, Mapungufu ya uchaguzi yapo, na yamekuwepo kwa muda mrefu sasa. Mapungufu haya kwenye chaguzi yoyote huanza kwenye kuboresha daftari la wapiga kura mpaka hatua ya kuhesabu kura. Kwa...
2 Reactions
12 Replies
528 Views
Eti wadau, kama ndani tu moto wa vurugu umewaka na wanapata shida kuuzima, watauweza ule moto wa wale wahuni wa Haiti kweli?!
2 Reactions
4 Replies
597 Views
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli Binafsi...
17 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu, Wajumbe wamefurahi bana, wajumbe watakuwa wamekunwa kweli kweli mpaka wametema😂😂, yetu macho. Ila wajumbe hawajawahi kuwa watu wazuri😂😂, wanakuchekea mwishoni hutaamini macho yako. =====...
2 Reactions
8 Replies
681 Views
Habari JF, Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu. Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani...
37 Reactions
147 Replies
10K Views
Habari JF, JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu...
27 Reactions
152 Replies
8K Views
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi. Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao...
10 Reactions
206 Replies
11K Views
Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia . Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Mitano Tena! Zanzibar imepata wapi fedha
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili. Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu. Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho...
5 Reactions
11 Replies
936 Views
Naamini katika Bilble naamini Mungu ni Alpha na Omega nilichukizwa watu walimfananisha Magufuli sawa na Mungu ,Yeyu pamoja na mitume mingine nilichukizwa na nilisema wanamchonganisha Magufuli na...
0 Reactions
2 Replies
332 Views
https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi Alikuwa kwenye ziara na wananchi...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Utangulizi Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa. Hapa chini...
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…