Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu...
1 Reactions
0 Replies
246 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki...
11 Reactions
123 Replies
7K Views
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje. 1. 2 3 4
15 Reactions
154 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Royal Tour ni Brand ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa ameifanya kutangaza utalii. Royal Tour imekuwa ya mafanikio makubwa. Changamoto kubwa inayoonekana wasaidizi wake hakuna juhudi za...
2 Reactions
4 Replies
754 Views
Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika...
19 Reactions
43 Replies
3K Views
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM...
2 Reactions
9 Replies
651 Views
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya...
10 Reactions
83 Replies
3K Views
Akihojiwa na BBC Swahili, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewashangaa wanaodai kuwa hafai kuongoza hata Mtaa wakati kitambo kidogo alifaa hadi kuwa Rais (Akapewa dhamana ya kugombea...
0 Reactions
11 Replies
737 Views
Mpo salama! Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa. Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika...
8 Reactions
15 Replies
787 Views
Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea...
2 Reactions
2 Replies
307 Views
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuna mijadala mingi imeshika kasi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA hususan nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti, kuna kambi kuu mbili ya mwenyekiti anayeenda kutetea uenyekiti wake mwamba Freeman...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?. Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force...
2 Reactions
14 Replies
849 Views
Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Watanganyika waliopata ajira Bomba na mafuta tukutane hapa!
2 Reactions
13 Replies
464 Views
https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika UPDATES: Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO...
4 Reactions
210 Replies
21K Views
https://youtu.be/Oo_mzpPlI20?si=bSlinWkO0f8ld4AO My Take Napenda kujua sera za Mbowe, zaidi ya kulialia alimsaidia Lissu ana sera zipi
3 Reactions
0 Replies
260 Views
Back
Top Bottom