Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Wapendwa ushauri huu 👇🏾 “Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs” 😀😀 Haya msinitafute baadaye na ma presha huko! Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe! Haya muwe na usiku mwema 👊🏽...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini...
1 Reactions
3 Replies
603 Views
Ni Wosia wa Msingi sana kutoka kwa mwenyekiti mstaafu wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X Inahuzunisha sana Tajiri wa Chadema kutaka kuwahonga Damu changa ya Chadema 🐼 Mungu wa...
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Wanabodi, Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura...
41 Reactions
90 Replies
10K Views
Mbowe na Samia ni Viongozi wa mfano sana kwa Taifa hili, Nashauri CHADEMA wamchague tena Mwenyekiti Freeman Mbowe na sisi CCM tutamchagua tena Dkt Samia Suluhu Hassan. Wawili hawa wanafaa...
3 Reactions
9 Replies
560 Views
Hawa ma ex colonisers wanataka kuaminisha Dunia kuwa Zanzibar kulikuwa hakuna mtu mpaka walipokuja wao (wasome vizuri huo ujumbe hapo juu) Na mbaya zaidi Wazanzibari na hususan SMZ kupitia...
2 Reactions
114 Replies
12K Views
Zanzibar Daima OnlineJarida la Kila Mzanzibari khelef / 7 days ago Vijana wa Umoja wa Vijana wa ASP kisiwani Pemba. Na Mwandishi Wetu, Chake Chake, Pemba. Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
NILIWAAMBIA MBOWE NI TAPELI WA KISIASA NDANI YA CHADEMA MKASEMA NIMENUNULIWA NA CCM; SASA KIKO WAPI? Na; Garatwa Francis Ukiambiwa muda ni Mwalimu wa haki uwe unaelewa. Wakati nawaambia Mbowe na...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
SMZ, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ni matokeo ya mapinduzi yaliyo mwondoa Sultani wa Zanzibar mwaka 1964. Siyo siri, mgawanyiko wa kiasili uliokuwepo kwa karne na karne huko Zanzibar hadi leo...
1 Reactions
155 Replies
20K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake. Mbowe amesema...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Anaandika Dkt Haule, CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
== Binafsi Ninamuunga mkono Mhe TUNDU LISSU. na Nina sababu zangu za Msingi kutokana na Nini anakiwazia katika kuboresha mifumo ya Taasisi (Ndani ya CHADEMA). Leo nitajadili Kwa ufupi hoja yake ya...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba...
17 Reactions
127 Replies
4K Views
== Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11. Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka...
13 Reactions
66 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo Soma hapa: - Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote Matsahi...
3 Reactions
10 Replies
706 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…