Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho. Pia, Soma: - Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu...
4 Reactions
6 Replies
804 Views
Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za...
1 Reactions
3 Replies
792 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki. Nashauri chama kimzuie asilete taharuki. Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanajukwaa! Mmesikia huko Naona Bungeni ni patamu sana kila mtu anataka akale utamu wa Bunge ================= Baraza Kuu la Waislamu nchini Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya Shinyanga kutangaza kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu naona na Mwanza nao wameunga mkono juhudi ========================================================== Wajumbe wa Baraza Kuu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa chama...
1 Reactions
4 Replies
515 Views
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya...
14 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama...
25 Reactions
64 Replies
5K Views
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi. Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana. AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20...
0 Reactions
12 Replies
628 Views
Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
HOTUBA YA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) ALIPOFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA UFUNDI MWANDOYA MEATU SIMIYU TAREHE 11 JANUARI 2025...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100. Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa...
45 Reactions
188 Replies
15K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao: 1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema 2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo 3. John Heche Kwa Sasa Mgombea...
1 Reactions
19 Replies
720 Views
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa. "Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Kambi ya mabadiliko imeanza na BAVICHA. Twende kazi mpaka kieleweke. Kule tayari moshi mweupe umefuka.
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanasiasa Mkongwe Mkoani Mbeya, Ambaye amechangia Kustaafisha siasa Wanaccm wengi Mkoani humo, Mzee John Mwambigija, leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea uongozi wa Juu wa Baraza la Wazee la...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hiyo ni tahadhari naitoa mapema kabla ya mkutano mkuu wa chama Chadema . Leo imeshuhudiwa vurugu kubwa kwenye Baraza la vijana baada ya kutokuelewana juu Posho zao . Chama kiweke wazi juu ya...
0 Reactions
9 Replies
608 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…