Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita. Makamu...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine. Huhitaji...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media...
0 Reactions
12 Replies
848 Views
Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
3 Reactions
20 Replies
911 Views
Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake Itendeeni haki...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Watu wenye Fikra za kuleta Mapinduzi Chadema Wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri Chadema Ili ipone ni lazima iwaondoe makaburu wachache waliobamia na hasa Mbowe, Sugu na Halima Mdee Wenje ni...
2 Reactions
5 Replies
286 Views
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa...
0 Reactions
9 Replies
977 Views
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele ...
1 Reactions
8 Replies
520 Views
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka...
1 Reactions
19 Replies
861 Views
David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, amewatoa hofu Watanzania kuhusu ujenzi wa barabara za kulipia. Anasisitiza kuwa barabara hizi zitaambatana na barabara mbadala zisizo za kulipia, kutoa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura. Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je...
3 Reactions
17 Replies
904 Views
Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi...
2 Reactions
9 Replies
436 Views
Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote...
17 Reactions
173 Replies
10K Views
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place. Nilitegemea uje na kauli za "healing"...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…