Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Freeman Mbowe angesikiliza watu wanaomuambia astaafu amuachie Lissu, Chadema kingekuwa ni chama ambacho kinatoa uongozi kwa kurithishana badala ya demokrasia, hii ingekifanya kuonekana bado ni...
2 Reactions
1 Replies
343 Views
Friends ladies and gentlemen, Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Kupanga ni kuchagua ila hapa Tanzania Sina hakika kama.tunajua kuchagua mipango ya kipo kianze au kipi kifuate. China imeripoti kwamba mwaka 2024 imewatoa Wachina zaidi ya Milioni 33 kutoka...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo...
16 Reactions
18 Replies
1K Views
Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa. Lakini kipekee...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
== https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe). Mambo yameanza kuwa yamoto...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi. Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Wakuu! Retired FUSO Tlaatlaah Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano. Lisu akishindwa unachukua Laki tano. Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili. Aliyetayari kwa Mchezo aniambie...
16 Reactions
109 Replies
4K Views
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike! Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA...
30 Reactions
83 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana...
19 Reactions
149 Replies
6K Views
Wakuu, Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi. Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu. Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais. Atashinda...
0 Reactions
16 Replies
876 Views
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio. Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya...
5 Reactions
145 Replies
4K Views
Wakuu, Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti Kupitia mtandao wa X wengi...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Mpo salama! Nimeamka zangu! Hata sijaomba! Hata sijaenda washroom! Hata sijafanya lolote! Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni...
13 Reactions
150 Replies
5K Views
Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa...
-1 Reactions
2 Replies
450 Views
John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…