Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Juzi katika kikao cha bunge, Spika wa Bunge, Mhe. Anne Maklnda, alimtaja Mbunge wa Singida, Mhe. Tundu kama ndie Mbunge anayeongoza kuwa chanzo cha vurugu za bungeni, kwa kuongoza kwa...
59 Reactions
241 Replies
36K Views
Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7 2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa 2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais...
6 Reactions
101 Replies
7K Views
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama. Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti...
10 Reactions
75 Replies
3K Views
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza...
10 Reactions
49 Replies
9K Views
Ni katika sherehe za kuwakabidhi Tuzo Walipa Kodi Bora nchini Mlipa Kodi maarufu zaidi nchini ni S S Bakhresa Mlipa Kodi mkubwa ni NMB Na huyo Kijana Shujaa wa Tegeta Tukio liko mubashara...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029 John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029 Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche. Pia soma Pre GE2025 - Freeman...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia...
1 Reactions
4 Replies
498 Views
Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo. Soma, Pia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha...
18 Reactions
62 Replies
3K Views
Wajumbe ndiyo Kada usiyopaswa kuiamini japo kwa 10%. Kada hiyo ndiyo yenye uwezo wa kukuua kwa shinikizo la damu endapo afya yako ni mgogoro. Wajumbe ni watu ambao wao neno lao huwa ni moja...
1 Reactions
4 Replies
539 Views
Kuna watu wameanza kuleta hoja yakumtuhumu Mhe. Bashungwa kwamba ametoa uraia kwa wachezaji wa Singida. Nikiangalia aliteuliwa lini na toka ateuliwe anafanya nini naamini bado hana sahihi yake...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Dkt.Wilbrod Slaa kwenye Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 wamewasilisha maombi mawili kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ombi la kwanza ambalo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+, Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025. https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk RAIS SAMIA...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
JUNI 3, mwaka huu, Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Tundu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani, Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini, Walilia haki, wakapigania usawa, Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani. Ni uchaguzi wa ndani...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…