Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa Bunge mh.Dk.Tulia Ackson Mwansasu(PhD) Akihojiwa na Clouds kwamba anaacha alama gani Mbeya amejibu kwamba ikitokea hajaendelea kuwa mbunge basi Wana Mbeya watamkumbuka Kwa ujenzi wa...
4 Reactions
160 Replies
10K Views
Naibu Waziri wa Elimu wa zamani wa Serikali ya Tanzania wa Awamu ya Kwanza, Mzee Nazar Nyoni, amefariki dunia jana tarehe 19/07/2024 majira ya saa 3 asubuhi nyumbani kwake Morogoro baada ya kuugua...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
10 Reactions
112 Replies
3K Views
Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu...
2 Reactions
2 Replies
519 Views
Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM. Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha...
30 Reactions
442 Replies
56K Views
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kipekee wa tamaduni, watu wake wa amani, na mazingira mazuri ya asili. Kwa mgeni yeyote, hasa kutoka nchi nyingine za Afrika kama Nigeria, uzoefu huu unaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi? Jumaa Mubarak 😂 Nimekaa pale 🐼
8 Reactions
100 Replies
4K Views
Tanzania tubadili mfumo wa elimu uendane na mazingira ya sasa. Tuwekeze zaidi elimu kwa vitendo kuliko kukariri. Leo nikiwa mkoani Mwanza nimeenda shule flan kufuatilia tender , kwa bahati mbaya...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa...
8 Reactions
322 Replies
41K Views
Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha Mlale unono 😀
2 Reactions
11 Replies
645 Views
Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo...
0 Reactions
6 Replies
610 Views
Na Mwandishi Wetu KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI AWATAKA VIONGOZI KUTOA USHIRIKIANO KWA MBUNGE KATAMBI. KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC) amewataka viongozi...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta...
1 Reactions
4 Replies
438 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa. Juhudi zangu za kulazimisha...
25 Reactions
145 Replies
9K Views
Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Chadema, Arcado Ntagazwa amezikwa nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam huku sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni changamoto ya...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Kuna kero ya maji sana na Dawasco hawasemi chochote hakuna taarifa rasmi wala maelezo. Kuna namna watendaji wa chini wa serikalini wanafanya kazi kimazoea hii hali iliisha kipindi cha Hayati Magu...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Back
Top Bottom