Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Tunakumbushana tu Kwa wale wahenga Hii mambo ya kufunga barabara kuna Uchumi wa Watu Wadogo Wadogo unakandamizwa Dominica Njema 😄
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanabodi, Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi...
19 Reactions
68 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi...
15 Reactions
165 Replies
16K Views
Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo. Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha...
5 Reactions
13 Replies
726 Views
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa. Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa...
5 Reactions
17 Replies
809 Views
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Safari imeanza masaa matatu yaliyopita ilikuwa ni mida ya saa mbili na robo usiku yaani 20:15 abiria wengi walianza kwa matumaini sana lakini imegauka kuwa ni safari ngumu yenye mashaka...
13 Reactions
21 Replies
4K Views
Pia soma: ~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa ~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati. Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
1 Reactions
8 Replies
802 Views
Wakuu, 1. Francis Kumba Ndulane - Mbunge wa Kilwa Kaskazini Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa. Je tunaamani na kizazi hiki...
3 Reactions
17 Replies
917 Views
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao. Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalimu kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM. Ngoja tusubirie tujionee...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu, Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika. Whoever made that decision anaelewa ni kiasi...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA =================== Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa? 2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala...
28 Reactions
185 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…