Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari Zenu wakuu, Kuna kipindi nilikuwa sipendi kabisa habari za siasa but kutokana na maisha yanavyozidi kwenda nimekuwa nikivutiwa sana na Siasa. Nimekuwa mfuatiliaji sana wa mambo mbali...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya Nimeogopa sana 🐼
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo...
0 Reactions
5 Replies
504 Views
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa Njiani kuna foleni kubwa Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka Hivi kwa nini serikali...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi, Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana...
25 Reactions
95 Replies
8K Views
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani. Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio. Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako...
37 Reactions
56 Replies
4K Views
RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
7 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu, Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi...
24 Reactions
179 Replies
5K Views
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za...
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Kabla ya kulalamika ni vigumu kumpata mtu fulani, je wewe watu wanakupata wanapokuwa wanakuhitaji kulingana na majukumu uliyopewa? Ukipigiwa simu unapokea? Ukitumiwa ujumbe WhatsApp unajibu...
5 Reactions
13 Replies
613 Views
Kuchagua na Kuchaguliwa Ni haki ya kikatiba ya CCM. Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kiuraia ya kila Mtanzania mwenye utimamu wa akili, ambayo haiwezi kutungiwa sheria wala kanuni ili kuvizwa...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive...
5 Reactions
6 Replies
849 Views
Waziri wa Mazingira wa Kenya mh Duale amewataka Wakenya wanaolalamikia ukarabati wa Ikulu ya Nairobi waende Tanzania au Misri wakaone Wenzao walivyo na Ikulu za kisasa Duale amesema Magufuli...
4 Reactions
7 Replies
913 Views
Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom