Habari wana JF;
Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda...
Sikuacha za Professor Jay...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa...
Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi...
Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji...
Ni jambo la Aibu Kwa Kiongozi Mkubwa wa namna hii hapa Nchini na Duniani.
Nashangaa likawa ni suala lilowachekesha makutano walocheka na kupiga makofi wengine kutaka kuangukia chini Kwa kucheka...
Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo...
Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja.
Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana...
Joseph Mbilinyi wanakuita Sugu umetajwa mara nyingi sana mwenyekiti wako wa chama Tundu Lissu kuwa umepata uongozi wa kanda kwa kutumia rushwa. Lissu amesema mara nyingi ulitumia pesa kutoka kwa...
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
--
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania.
Akizungumza wakati...
wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu...
Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia...
MKATABA MWINGINE BANDARINI NA MISRI WAZUA TAHARUKI YA CHINI KWA CHINI!
Ndugu Watanzania!
Tumepata taarifa kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya...
Huu hapa ndio Ujumbe wa Rais wa Tanzania baada ya kushtushwa mno na kitendo hicho
Tungali tunasubiri vyombo vyetu Shupavu kutuletea Majibu na labda Majina ya Watekaji wake.
Tunamuomba...
Wakuu,
Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM
Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma?
=================================
Katika kusherehekea miaka 48...
ORODHA YA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024/2025
JINA LA ASASI YA KIRAIA
1. The Tunu Pinda Foundation...
Baada ya CUF kusambaratika wako wanachama waliofatia Maalim Seif, (MwenyeziMungu amsamehe makosa yake) na kundi jengine lilikwenda kwa Mzee Lipumba. Kundi la tatu ambao pengine ni wachache ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.