Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano...
2 Reactions
6 Replies
711 Views
Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema. Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya maafisa wa Jeshi la Polisi kuhusishwa na vifo vya vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kucheuka (22) waliokuwa...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia...
9 Reactions
261 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Baada ya Uchunguzi wangu wa kina nimeamua kwa dhati kabisa kuunga Mkono na Kupongeza Uamuzi wa Serikali ya Marekani kuondoa misaada yote kwa Nchi za kiafrika. Hii ni kwa sababu misaada hiyo...
19 Reactions
70 Replies
2K Views
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema...
4 Reactions
33 Replies
951 Views
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni...
20 Reactions
616 Replies
129K Views
Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu. Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje? Akiwa...
0 Reactions
3 Replies
432 Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hamjambo wote! Lazima Tafiti, chunguzi na tathmini zifanyike. Tujue Watanzania ni nini wamebarikiwa na kile wanachoweza kulifanya to the most. Kisha tungalie ni nini tunacho katika nchi yetu...
3 Reactions
18 Replies
751 Views
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge? Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine? Wakati akichukua posho za kibunge...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba mimi nikisikia mwanasiasa yeyote sijui katekwa sijui kapigwa sijui kafariki sishtuki hata kidogo na hata tone la huruma halinijii najua ni matokeo ya ugali wanaoutafuta kwa hila...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Kwa mara ya kwanza nimemsikia huyu jamaa kwenye siasa za Mbeya, ni kwenye yale Maigizo ya Tulia Ackson kwenye Ngoma za Asili, kugawa cement kwenye shule mbalimbali na kubeba Majeneza. Sasa leo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, Kama mnavyojua watuhumiwa wa tukio la utekaji wa Talimo kule Kilivya, Benki na wenzake 5 walikamatwa Disemba 4 na kufikishwa mahakamani Disemba 6. Ikumbukwe kuwa dhamana yao ilikuwa wazi...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…