Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Milioni 700 kwa wachezaji wakati kuna shule nyingi za hivi. Hii si swa! Hata Mtume wetu (SAW) haimpendezi! Soma => Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON Shule hii iko Mtwara...
24 Reactions
152 Replies
8K Views
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na...
0 Reactions
16 Replies
741 Views
Hapakuwa na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa CHADEMA Taifa, bali ilikuwa ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu...
6 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu, Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia. Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako. Wasiende tu kurudia yale mambo...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Katika mkutano wa 18 wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma, leo katika kikao cha 11, wabunge watasikia na kujadili taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge kwa kipindi cha kuanzia Februari...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Kufuatia taarifa iliyotolewa rasmi leo (pia kuletwa humu JF) kuhusu kushindwa kufanyika kwa vikao vya bunge la Afrika mashariki (EALA) kwa sababu za ukata uliotokana na baadhi ya nchi wanachama...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe...
26 Reactions
113 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma. Taarifa iliyosambazwa na chama...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu, Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni. Tumechoka kuona...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Wana Jf nimeikuta hii michuzi lakini mwenyewe kaweka mambo huwezi kucopy text toka kwenye blog yake By US Blogger Ankal Michuzi, naomba unipe nafasi kuandika kidogo juu ya mambo niliyokumbana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya...
1 Reactions
4 Replies
634 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza. Soma...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…