Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 -...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hayo si Maneno yangu, bali ni Maneno ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipokuwa anawahutubia mamia ya Wananchi, akigusia hali ya Uchumi ilipofikishwa na serikali ya ccm Naunga mkono...
16 Reactions
37 Replies
1K Views
https://youtu.be/P-e08q4WqDs?si=rhQ1idwPKk3IMKlw
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam...
12 Reactions
90 Replies
6K Views
Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account. My take. Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba Leo hii mwezi tu chama...
3 Reactions
16 Replies
769 Views
Wakuu, Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao. Baba Levo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini...
4 Reactions
8 Replies
766 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
"Mnaomuona analala mnasema Wasira analala mnamuonea ni umri, anapaswa kulala ni haki yake kulala, Wasira hata umuweke ndani ya spika humo atasinzia tu, kwasababu umri umekataa, umri umefika”...
2 Reactions
3 Replies
336 Views
Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
“Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao...
2 Reactions
3 Replies
337 Views
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani...
1 Reactions
4 Replies
421 Views
John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni...
13 Reactions
74 Replies
14K Views
Wakuu, Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula...
1 Reactions
2 Replies
567 Views
Wakuu, Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya. Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi. Hizi ni dalili za chama...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani. Maofisi ya...
20 Reactions
95 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…