Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini. Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe...
0 Reactions
3 Replies
503 Views
Wakuu, Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Hii tabia ya kila kitu mama mama mama inachosha kuchusha kuboa na kutia kinyaa. Unakuta kijana ana nguvu zake safi tu badala achape kazi atoboe yeye anashabikia mtu ili apate kitu. Ukiona WALIMU...
3 Reactions
11 Replies
687 Views
Nimepata mkanganyiko kujua nani bosi wa mwenzake kati ya DAS na. DED naomba kuelemishwa mwenye kujua.
4 Reactions
175 Replies
110K Views
Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025 "Mmenipa heshima kubwa sana kuja kuweka jiwe la Msingi katika Msikiti huu wenye historia kubwa na ya...
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae...
5 Reactions
115 Replies
2K Views
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Wanabodi, Ninakubali kwamba kuna mapungufu makubwa kwenye sheria ya uchaguzi, kwenye tume yetu ya uchaguzi na vilevile kwenye katiba yetu. Kurekebisha mapungufu haya kutahitaji washika dau wote...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi...
0 Reactions
9 Replies
937 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Heshima sana wana jamvi. Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi. Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo. Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari" Leo hii umewatambua na...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Deogratias Mahinyila upo ktk Tanzania hii? Sijaona ahadi zako za uchaguzi za kumtoa Mbowe? Kila kijana ulimuahidi utampa wakili wake . Jee huyu katibu wa chadema mwanza vipi?
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Boti za Kisasa za Uvuvi 35 na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo, leo tarehe...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…