KWA muhtasari, nimezungumza na Mzee Njelu Kasaka kuhusu kilichojiri kati ya kundi la wabunge maarufu kama G55 na Mwalimu Julius Nyerere. Kasaka (akiwa Mbunge wa Lupa-Mbeya) ndiye aliyeibua hoja...
Mbunge wa viti maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khadija Taya maarufu kwa jina la Keisha amesema kwa muda wa miaka 14 vyama vya watu wenye ulemavu havikuwahi kupewa fedha za...
Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja! Jiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Kupiga kura ili kushiriki kikamilifu katika Demokrasia.
Dkt. Kuduishe Kisowile
Influencer wa Mtandaoni (Kudu_ze_Kudu)
Wakuu,
Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi...
WAJIBU WAKO, SAUTI YAKO, HAKI YAKO!
Ndugu wananchi, demokrasia imara hujengwa na watu wanaotambua haki zao na kuzitumia kikamilifu. Moja ya haki yako muhimu kama raia ni KUPIGA KURA!
Ili...
Iwe ni kujipendekeza au ni mkakati wa makusudi, sasa kuna kampeni zilizoshika kasi kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye kimsingi ndiye mgombea urais wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
Baada ya Serikali ya Zanzibar kukikodisha Kisiwa cha Kwale huko Fumba Mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Wananchi wanaofanya shughuli zao za kiuchumi Kisiwani humo wameonesha wasiwasi wao wa kukosa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amesema Serikali inatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo ni wajibu wa viongozi kushirikiana na chama ili kuhakikisha kuwa...
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania.
Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Heshima si utumwa ni miongoni mwa hekaya za wahenga. Waliona umuhimu wa heshima kwamba kumuheshimu mtu haikufanyi uwe mtumwa wake, lakini bado wakaongezea kwamba 'Heshima...
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.
Inafahamika wazi...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Kanda ya Kusini katika...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema umahiri wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatokana na juhudi zilizofanywa na waasisi wa Taifa la Tanzania...
Si lengo langu kuingilia mamlaka za uteuzi , maana kuna msemo kwamba mkubwa hakosei lakini uteuzi wa wakuu wa mikoa ambao walishindwa ubunge majimboni mwao hauwezi kupita bila kujadiliwa .
Mara...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?”...
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali ameendelea kuwa kituko kwenye siasa za vyama vingi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina ziara Nyanda za juu Kusini na Leo wako Rukwa na...
Najiuliza nani anahusika kuandaa Taifa lenye wazalendo badala ya kuandaa machawa wasio na faida yoyote kwenye nchi zaidi njaa zao
Fikra za watoto zinatakiwa ziingiziwe fikra za kizalendo...
1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani...
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa...