isaac shonga
New Member
- Nov 1, 2015
- 2
- 0
WAJIBU WAKO, SAUTI YAKO, HAKI YAKO!
Ndugu wananchi, demokrasia imara hujengwa na watu wanaotambua haki zao na kuzitumia kikamilifu. Moja ya haki yako muhimu kama raia ni KUPIGA KURA!
Ili kuhakikisha unashiriki katika maamuzi ya taifa letu, hakikisha unajiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Usikubali wengine wakuchagulie viongozi bila sauti yako!
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jiandikishe ili uwe na uwezo wa kuchagua viongozi bora na wenye maslahi ya wananchi!
Kura yako ni silaha yako ya mabadiliko!
Hakuna maendeleo bila ushiriki wako! Jiandikishe, shiriki, badilisha!
#JiandikisheSasa
#SautiYakoMaamuziYako
#DemokrasiaNiWajibu