Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chifu Anthony Thadeo Wangao, Chifu Kapufi wa Tatu wa Sumbawanga Asilia, ametoa kauli yenye uzito kuhusu baadhi ya watu wanaopinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akiwa kiongozi wa kimila...
2 Reactions
9 Replies
562 Views
Upinzani wa Tanzania siuelewi waweza zunguka nchi nzima kupitia barabara nzuri zimejengwa na serikali ya CCM halafu wanasema CCM haijafanya kitu toka uhuru Ndege watapanda zilizonunuliwa na...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) akizungumza na wananchi amefunguka baadhi ya sababu za CHADEMA kuanzisha kampeni ya "No reforms no Election" akumbushia hali...
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Tume ya uchaguzi tafadhalini ongezeni siku za watu kujiandikisha kupiga kura mfano Dar huu umati unaojitokeza deadline ya kesho hautaisha Toeni tamko kwa kweli la kuongeza muda
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha...
9 Reactions
105 Replies
7K Views
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako...
21 Reactions
38 Replies
3K Views
Justine Januari Kiboko, mkazi wa Namanyere, Kata ya Majengo, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, ametoa wito kwa vijana wote wa Nkasi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba...
2 Reactions
1 Replies
358 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Msajili wa vyama vya siasa punguza unazi kidogo alafu fanya kazi yako. Kuna mahali unapwaya na kushindwa kuficha hisia zako. Juzi umemsikia mwenezi wa CCM alichosema hadharani mbele ya wananchi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani...
0 Reactions
13 Replies
936 Views
Magufuli alipomsaidia mwananchi kulipa bill hodpitali ya Muhimbili SIJUI NIENDELEE KUNUNUA MAGOLI AU NIANZE NA MIMI KUSAIDIA WASOJIWEZA ?
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, Muheza, na Handeni Vijijini, kuwa na majimbo mawili kila moja katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na...
0 Reactions
10 Replies
617 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza, Machi 24...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku. Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mi nafikiri ustaarabu unahitajika zaidi na si ubaguzi kwenye kushughulikia suala hili maana tutajikuta tuko kinyume hata na UN Resolution on Race and Human Rights though we have ratified the...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la...
0 Reactions
6 Replies
890 Views
Back
Top Bottom