Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo...
WB imeidhinisha USD 200m za kuboresha miundombinu ya Barabara jijini Dodoma.
-
The World Bank has approved a $200 million investment to enhance urban mobility and accessibility in Tanzania’s...
Ni Tanzania pekee huduma kwa wananchi kusitishwa/kusimamishwa ili kupisha mkutano wa Chama. Gari zote zinafanya shughuli za kushusha na kupakia abiria nje ya stendi
-Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA KAZI ,AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA.
KUHUSU UVAMIZI WA FURSA ZA AJIRA NA BIASHARA KWA WAZAWA UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAWEKEZAJI WA KIGENI (HUSUSAN RAIA WA KICHINA)...
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini...
Rais Samia akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU 2023/2024 Ikulu Dar es Salam Machi 27, 2025
https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt
Aliyoyasema Mkurugenzi...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa...
Serikali imepanga kupeleka shilingi bilioni 335.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga...
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Katika jamii yetu, kuna makundi mbalimbali ambayo yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Hata hivyo, kuna wakati ambapo vyama vya siasa kama CCM na Chadema...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameonya vikali dhidi ya wale wanaotaka kununua nafasi za ubunge, akisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa maadili...
Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mheshimiwa Aesh Hilaly, ameonesha moyo wa upendo na kujali ustawi wa akina mama wajawazito kwa kuchangia mabeseni 1,000 kwa ajili ya wanawake wanaotarajia kujifungua...
UHURU NI MUHIMU LAKINI UHURU WENYE MIPAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kila kiumbe kinahitaji UHURU. Zaidi viumbe wenye utashi Uhuru kwao ni Moja ya mambo MUHIMU na ya lazima katika...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali.
Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvitoroka vyombo...
Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no...
Pichani Tundu Lissu akitoa elimu ya No Reform No Election.
Hapa ni Namanyere, Jimbo la Nkasi Kaskazini
Tunaomba Radhi kwa kuwaleteeni Taarifa kidogo za Mikutano ya No Reform No Election, hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.