Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako. Umepoteza kabisa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu alishindwa kabisa kufanya majukumu yake bila kupiga picha na kupost Instagram? Yaani wakati serikali ya Afrika Kusini inahangaika kutafuta dawa ya UKIMWI na Marekani inahangaika kwenda...
0 Reactions
7 Replies
500 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
37 Reactions
214 Replies
9K Views
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya...
51 Reactions
311 Replies
15K Views
Leo mimi kama.mmoja wa wakosa ajira Nimeamua kuja na andiko viongozi sikilizeni hili Namba hazidanganyi Madhara ya Kuwa na Wasomi Wengi Mtaani ambao Hawana Ajira Kuwa na wasomi wengi bila ajira...
1 Reactions
15 Replies
785 Views
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:- ************************************ "Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala, Tanzania sasa ni...
22 Reactions
87 Replies
4K Views
Ukisikiliza hii video ya Lema akimchana RC wa Chuga utacheka Hadi upasuke lakini ndio ukweli wenyewe. Maana Jamaa Yuko busy na makongamano kuliko kushughulikia Maendeleo. On top of that mda wote...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa...
4 Reactions
8 Replies
708 Views
Wakuu, Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini? CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu. Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema...
0 Reactions
13 Replies
735 Views
Tanzania tumeangushwa na vizazi vyetu sana mpaka sasa 1. Vizazi vya wakina Nyerere na Mwinyi- Ujamaa wametuletea umasikini sana kiasi kwamba wakati Nyere anaondoka uchumi ulikuwa mbaya sana 2...
9 Reactions
13 Replies
737 Views
Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Taarifa kamili hii hapa, ni kutokea eneo la Vwawa Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Wananchi wa hapo wamekubaliana kwa kauli moja kwamba bila Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na...
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom