Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye...
3 Reactions
10 Replies
680 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22...
23 Reactions
360 Replies
38K Views
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu, Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa. Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili. Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Anahoji Askofu Gwajima.! Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa...
67 Reactions
181 Replies
13K Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili...
2 Reactions
10 Replies
905 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amethibitisha kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Rungwe amesema hayo leo Mei 15, 2025, katika mahojiano na...
0 Reactions
9 Replies
991 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Aliyekua Mwanasheria Mkuu wa serikali (AG) Dr.Adelarus Kilangi (LLD) akiwa na makada wenzie wa CCM waliotia nia ya ubunge jimbo la Nyamagana. Juzi tumemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa tume ya...
0 Reactions
4 Replies
549 Views
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka walimu nchini kushikamana na kutokukubali kugawanywa Dk Doto Biteko amesema hayo Jumapili Juni 8, 2025 jijini Dodoma wakati...
0 Reactions
5 Replies
484 Views
"Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko Ametaja jitihada...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa...
0 Reactions
6 Replies
571 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma. "Ninawashukuru...
9 Reactions
153 Replies
8K Views
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari...
11 Reactions
80 Replies
4K Views
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini" "Ni mara...
40 Reactions
64 Replies
5K Views
Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom