Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema "Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha...
12 Reactions
70 Replies
2K Views
Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
19 Reactions
20 Replies
1K Views
Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no...
1 Reactions
7 Replies
531 Views
Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
12 Reactions
180 Replies
15K Views
Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo...
1 Reactions
5 Replies
637 Views
Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo...
18 Reactions
99 Replies
5K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
683 Views
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia) I. Utangulizi Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha...
3 Reactions
3 Replies
720 Views
Back
Top Bottom