Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨𝗠𝗔 𝙉𝙞 𝙯𝙞𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 5 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika...
3 Reactions
13 Replies
913 Views
1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mkoani Geita, Mhandisi Tumaini Brayson Magesa amezungumza na Manara TV na kufafanua sababu zilizomfanya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Busanda, licha ya kushika...
2 Reactions
5 Replies
714 Views
Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi, ameonya dhidi ya watu wanaodhani kuwa wana nguvu zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ya Chadema na Mwenezi Bawacha; Ushahidi Mwingine wa Udhaifu wa Lissu Na Mwamba wa Kaskazini Alipogombea TLS kuwa Rais watu walionya: huyu mtu ni mwanaharakati na kamwe hajui mifumo ya ujenzi wa...
2 Reactions
82 Replies
3K Views
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko...
3 Reactions
3 Replies
462 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=4MdoQtu6CK7c2qtz Dogo anasema tatizo ni uongozi wa nchi na rushwa. Badala ya machawa kuongelea haya na kurekebisha wanaongelea Lissu na Chadema kila siku...
2 Reactions
9 Replies
614 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali zake hazitohofia wala kuacha kukopa kwenye Taasisi za Kimataifa za Fedha na Benki ya Dunia kwa minajili ya kutekeleza shughuli za miradi na ujenzi wa...
1 Reactions
7 Replies
509 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa...
2 Reactions
2 Replies
426 Views
Hali iliyojitokeza 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupelekea kuwepo na malalamiko mengi sawa na yale ya2019/2020 ilisababishwa na nini? Maana haya yametokea katikati ya maboresho...
2 Reactions
8 Replies
434 Views
https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i ➡Huyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo... ➡Anasema ktk miezi mitatu...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
HILI NDIO JUKUMU PEKEE WALILOJIPA GENERATION SAMIA Mkurugenzi na Mratibu Taifa wa Taasisi ya Generation Samia, Omari Kimweri Kibanga, amesema kuwa jukumu kuu la taasisi hiyo ni kuyaunganisha...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya...
1 Reactions
8 Replies
541 Views
Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021 Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom