Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli...
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 imeeleza sababu kuu zilizopelekea kuongezewa muda wake wa kazi.
Sababu hizo ni pamoja na kuendelea kupokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali na watu...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Novemba 18, 2025 katika viwanja vya Ikulu...
Mwanzo nilimsikia kwenye clip fupi nikampuuzia kwa kua alikua na lafudhi ya kiswahili kibovu, lakini nimekuja kumsikiliza aiseeee jamaa ana nondo Humphrey Polepile akasome.
Yani jamaa ana maarifa...
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola, ameibua mjadala mzito bungeni kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma, akisisitiza kuwa eneo la matumizi ndiyo mahali pekee ambapo wabunge wanaweza “kukaa...
Kingu awashukia wanamchonganisha Rais na Bunge, asema hakuna Mbunge anaweza kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais
Akichangia Bungeni leo Aprili 08, 2026, Mbunge wa Ikingu Magharibi, Elibariki...
Wakuu,
Mambo magumu huko😂🤣🤣, hesabu naona kama zile ya Yanga, hata na kalkuleta bado ngoma mbichiiiii!
Hivi kesi ya Lissu inaenda mpaka tarehe ngapi tena?🌚 Jamaa bado anagoma kuingia kwenye...
Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la...
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba...
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM
Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa...
Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM.
Akijibu swali kuhusu jitihada za...
Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili...
Wakuu,
Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂
Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio.
Malipo ni hapa hapa duniani...
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu...
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi
=============
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia...
Profesa Lipumba jana Machi 29, 2026 akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kwa wastani ilihitajika Dakika nne - tano kwa mtu mmoja kumaliza...
Profesa Lipumba akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini DAR amesema kuwa uchaguzi wa 2025 haukuwa huru wala wa haki na ulighubikwa na mauaji ya watanzania wengi wao wakiwa...
Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.