Mbunge wa kuchaguliwa asizidi vipindi vitatu vya miaka 15 maana yake nini ni miaka 15 kama mbunge umeshindwa kutekeleza kwa wananchi utafanya nini?
“Ubunge uwe na ukomo wa miaaka 15 vipindi...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi...
HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana...
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza...
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;
"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
kwenye mada.....
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama...
DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt...
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za...
Takribani mwezi mmoja uliopita chadema waligoma kusaini fomu ya maadili yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kitendo hiki kilipelekea Tume huru ya uchaguzi (INEC) kwa mjibu wa sheria...
Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari.
Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza...
1. Humuwezi kuzuia uchaguzi ulio kinyume na katiba huko ni kutaka kuonyesha uasi, kitendo ambacho kitahatarisha na kukiingiza kwenye matatizo yasio ya lazima,
Na pengine wapinzani wenu wanaweza...
Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi (...
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025...
Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa...
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT...
Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.