Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maridhiano yalikuwa ni maamuzi ya chama sio Mbowe. No reform No election ni maamuzi ya chama. Lissu ulipinga hadharani maamuzi ya chama kuingia kwenye maridhiano mpaka ukawaita viongozi wenzio...
1 Reactions
29 Replies
958 Views
Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo. Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo...
0 Reactions
8 Replies
486 Views
Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
6 Replies
294 Views
Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa. 1. Haki ya Kazi Kikatiba: Kwa mujibu...
3 Reactions
5 Replies
491 Views
Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamwe, kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55. Nikuombe usihangaike nao. Hapa ni kwamba, No reforms No election imeshaanza kubisha...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka! Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na...
1 Reactions
6 Replies
515 Views
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu. Hivi kweli chama...
1 Reactions
10 Replies
493 Views
Huyu dada Catherine Ruge alivyopigwa Chini kwenye Ukatibu Mkuu wa BAWACHA nilihuzunika Sana. Ila kwa Sasa naona waliompiga Chini waliona mbali Sana kumbe alikuwa kirusi kwenye chama. Kateuliwa...
3 Reactions
6 Replies
621 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara...
1 Reactions
4 Replies
454 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
419 Views
Umuofia kwenu, ndugu, jamaa na mtanzania mwenzangu. Hakuna kitu kigumu kukubalika duniani kama Mabadiliko na mazoea. Hili mara nyingi linasababishwa na Woga wa kisichijulikana (fear of unknown...
16 Reactions
38 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais 2025, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kufanya mkutano na wananchi wa...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
4 Reactions
4 Replies
477 Views
Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa...
34 Reactions
153 Replies
5K Views
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya kukoloniwa na kutumikishwa, tuligeuzwa mazwazwa wasiotaka kusikia neno mabadiliko au ukombozi. Huwa inaniwia vigumu kwa mtu mzima tena mwingine msomi kukubali kuitwa chawa, kondoo au...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…