Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na...
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30. Ameeleza pia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi. Rai...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Nini hasa unadhani kimepelekea vyama vya upinzani nchini, kupuuza na kuukalia kimya wito wa kuunganisha nguvu ya upinzani kisiasa na kiongozi mpya wa Chadema Taifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu kuna mbilinge kubwa linaendelea ktk majimbo mengi hapa nchi. Fedha zinamwagwa Kama ulezi Kwa wananchi, wajumbe, wenyeviti n.k.. Si DSM, Songwe, Geita, Mwanza...
1 Reactions
2 Replies
341 Views
Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi...
3 Reactions
13 Replies
699 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameendelea kuzungumzia changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini, akisema kuwa kura ya mtu mmoja lazima iwe sawa na kura ya mtu mwingine popote ndani ya...
1 Reactions
4 Replies
559 Views
Bado tuna safari ndefu sana ambayo kwa sasa ccm inaonyesha kutoa pesa nyingi kwenye media na mitandao watu wasijenge uwezo wa kuhoji kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi 2025. Kuna party nyingi...
3 Reactions
6 Replies
355 Views
Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi...
1 Reactions
4 Replies
673 Views
Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei...
64 Reactions
180 Replies
8K Views
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe Ni ngumu sana...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango...
1 Reactions
14 Replies
931 Views
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
10 Reactions
18 Replies
696 Views
Wakuu, CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Andrew Kisaka amesema kuwa ikiwa mwandishi wa habari anataka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimevunja mwiko wa kisiasa kudhani Pemba ni mateka wa upinzani na kwamba wanaweza kufanya watakavyo kwa kuendesha siasa za kufikirika. Katibu wa Kamati Maalum ya NEC...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda...
1 Reactions
3 Replies
593 Views
Back
Top Bottom