Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,109
- 2,147
Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi 32 za chama hicho katika Wilaya ya Mbeya Vijijini leo, Februari 15, 2025.
Katika hatua hiyo, M-NEC Mwaselela ametoa jumla ya Shilingi milioni 30, ambapo leo amekabidhi Shilingi 700,000 kwa kila kata ya chama hicho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makabidhiano ya fedha hizo yamefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mbalizi High School, mbele ya viongozi wa CCM kutoka kata zote 32 za wilaya hiyo.
Katika hotuba yake, Mwaselela amewasihi viongozi kuepuka malumbano yasiyo na tija, akisema kuwa migogoro yao haiwasaidii wananchi.