Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA 20 Dec, 2024 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia...
0 Reactions
14 Replies
830 Views
Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
2 Reactions
13 Replies
559 Views
Lissu ndicho anachopanga. Kwa hesabu yoyote ameshajua hawezi kushinda Urais. Anachofanya sasa ni kuwafanyia roho mbaya wanaCHADEMA wanaoweza kushinda udiwani na ubunge ili wakose wote. Nadhani...
0 Reactions
14 Replies
452 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali...
1 Reactions
5 Replies
484 Views
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili...
8 Reactions
9 Replies
877 Views
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM...
0 Reactions
4 Replies
517 Views
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi...
0 Reactions
9 Replies
584 Views
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi. Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake...
3 Reactions
13 Replies
985 Views
Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
298 Views
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya...
1 Reactions
9 Replies
618 Views
Carbon credits are sold by governments to businesses, and can be resold on the regulated carbon credit market. Carbon offsets are sold on the voluntary carbon credit market by organizations...
1 Reactions
0 Replies
327 Views
Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act...
1 Reactions
7 Replies
696 Views
Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi. Ukweli ni kwamba jambo hili si...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Chama cha NCCR Mageuzi kimeeleza kuwa hakitasusia uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, wakieleza wazi pia mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutaka kuzuia uchaguzi ni suala ambalo...
1 Reactions
8 Replies
709 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…