Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

== Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini...
28 Reactions
197 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. . Kwa kufanya kwa...
0 Reactions
4 Replies
323 Views
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Haya nchi ya Vietnam ambayo ilikuwa comminist kama sisi, masikini kama sisi leo hii ina trade deficit ya 100 billion dollars na USA, yaani vietnam ina export goods kwenda US zaidi ya USA inavyouza...
1 Reactions
3 Replies
432 Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, moja ya changamoto kubwa inayokabili nchi ni muundo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muundo huu umejenga hali ambapo ni vigumu kutofautisha kati ya CCM na...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA 20 Dec, 2024 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia...
0 Reactions
14 Replies
830 Views
Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
2 Reactions
13 Replies
559 Views
Lissu ndicho anachopanga. Kwa hesabu yoyote ameshajua hawezi kushinda Urais. Anachofanya sasa ni kuwafanyia roho mbaya wanaCHADEMA wanaoweza kushinda udiwani na ubunge ili wakose wote. Nadhani...
0 Reactions
14 Replies
452 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali...
1 Reactions
5 Replies
484 Views
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili...
8 Reactions
9 Replies
877 Views
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM...
0 Reactions
4 Replies
516 Views
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi...
0 Reactions
9 Replies
584 Views
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi. Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake...
3 Reactions
13 Replies
985 Views
Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…